JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi
Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, leo Juni 24, 2024
Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, leo Juni 24, 2024