Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
na bunge lake hawajatimiza miaka mitano madarakani .Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kilosa na Mikumi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro akimalizia ziara yake ya siku saba iliyokatishwa kupisha maembolezo ya Mzee Cleopa Msuya.
Makalla amesema hakuna jambo la dharura wala vita la kufanya uchaguzi uhairishwe na wala nchi haipo kwenye vita wala jambo lolote la kutisha kusema uchaguzi ushindwe kufanyika.
Amesema CCM ni chama kinachoheshimu demokrasia na hawapo tayari kuvunja katiba na kwakuwa wenye Chadema hawashiriki uchaguzi wasubiri 2030.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.

Hivi ccm ndo tume ya uchaguziChama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kilosa na Mikumi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro akimalizia ziara yake ya siku saba iliyokatishwa kupisha maembolezo ya Mzee Cleopa Msuya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amesema hakuna jambo la dharura wala vita la kufanya uchaguzi uhairishwe na wala nchi haipo kwenye vita wala jambo lolote la kutisha kusema uchaguzi ushindwe kufanyika.
Amesema CCM ni chama kinachoheshimu demokrasia na hawapo tayari kuvunja katiba na kwakuwa wenye Chadema hawashiriki uchaguzi wasubiri 2030.
Kwani kuna tume ya uchaguzi au kuna kitengo cha CCM kinaandaa uchaguzi fake?Hivi ccm ndo tume ya uchaguzi
Ni mambo ya hovyo hovyo tu yanafanywa na huyu mazaNaibu waziri mkuu ametajwa kwenye katiba ipi tukianza na ile ya mkoloni mpaka ya mwaka 1977>?
Je , huko sio kuvunja katiba ?
..wazungu wao wanasema "it was a terrible miscalculation" na imeshakisabishia chama "significant long term negative consequences"Chadema wamekosea mahesabu...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kilosa na Mikumi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro akimalizia ziara yake ya siku saba iliyokatishwa kupisha maembolezo ya Mzee Cleopa Msuya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amesema hakuna jambo la dharura wala vita la kufanya uchaguzi uhairishwe na wala nchi haipo kwenye vita wala jambo lolote la kutisha kusema uchaguzi ushindwe kufanyika.
Amesema CCM ni chama kinachoheshimu demokrasia na hawapo tayari kuvunja katiba na kwakuwa wenye Chadema hawashiriki uchaguzi wasubiri 2030.
HuyuChama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ameeleza hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kilosa na Mikumi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro akimalizia ziara yake ya siku saba iliyokatishwa kupisha maembolezo ya Mzee Cleopa Msuya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Makalla amesema hakuna jambo la dharura wala vita la kufanya uchaguzi uhairishwe na wala nchi haipo kwenye vita wala jambo lolote la kutisha kusema uchaguzi ushindwe kufanyika.
Amesema CCM ni chama kinachoheshimu demokrasia na hawapo tayari kuvunja katiba na kwakuwa wenye Chadema hawashiriki uchaguzi wasubiri 2030.
Hayo ndiyo maelekezo mliyompa Kailima?Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030.