Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amesema falsafa ya maandalizi ya umma inasema kuwa umma hauandaliwi kwa nguvu bali hukubali wenyewe.
Makalla ameongeza kuwa kwa umma uliojitokeza katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wakati wa mkutano wa hadhara wa Rais Samia Suluhu Hassan ni salamu kwamba CCM ina nguvu ya umma.