Ni kule mjengoni dodoma, ambapo Amosi Wako katika presentation zake kuhusu katiba ya kenya, anaulizwa maswali kwa lugha ya kiswahili, anayaelewa na kuyajibu kwa kimombo. Naona hali hiyo imeleta utulivu sana huko bungeni. Japo nina wasiwasi baadhi ya wajumbe wanaokota neno moja moja.
Napendekeza watumie lugha ya kimombo ili kudumisha nidhamu.
Napendekeza watumie lugha ya kimombo ili kudumisha nidhamu.