Amosi Makalla amepwaya Ukatibu Mwenezi wa CCM

Sio Makala tuu hata KM ile nafasi imemshinda,,wa wanaitaka ccm
sio makala tuu hata Nchimbi ile nafasi imemshinda,,wanaccm wanaitaka ccm ile ya Kinana akiwa KM na Nape Mwenezi,,ccm hii mikutano yote kumsifia Tundu Lissu
 
CPA Amos Makalla. Huwa nikiona tu hiyo heading nacheka sana.
 
lakin niulize swal mkuu sio kwa ubaya.sijasema nakrtisaize nafas yako, unapoeneza unaeneza na mvuto si ndio? mim nitaipika wal mwingine wal atatia naz mwingine wal atatia naz njegere na karot.kaongeza mvuto. ndio alichkouwa anafanya makonda.yeye wali alitia naz njegere karot na hoho.kaupamba. ndio moja ya sababu.mim sio mwana chama ila nakumbuka alikua anasema wao wana duka, na duka lao ni ilani, jukumu lake kama mwenye duka anapita kuuliza wateja wake je bidhaa zinauzwa kwa wakat, vip wauzaj wanausa vizur,? wana kaul nzuri? ndio maana akipita sehem wananch wanasimama wanamwambia maji hakuna, nae anamuuliza mwenye dhamana vip mbona hapa wateja wanalalamika? je hili nalo baya? ubunifu hautakiwi?? wbheja sana
 
NA NDIYO MAANA KUNA WAROPOKAJI WANAMHARIBIA RAIS NA CCM KWA UJUMLA.UNAWEZAJE KUSEMA CCM INAIBA KURA NA BADO UNA KADI YA CCM?
 
Yaani kulipa pole CHADEMA walipofiwa, imeshakuwa nongwa sasa,hafai tena!!
 
Hapo ulipoweka neno "usukumani" ndipo ulipokosea! Usukumani unsingiaje hapo mkuu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…