LGE2024 Amosi Makalla: CHADEMA wamepoteza muda mwingi kwenye maandamano, kwenye uchaguzi huu hawajajipanga

LGE2024 Amosi Makalla: CHADEMA wamepoteza muda mwingi kwenye maandamano, kwenye uchaguzi huu hawajajipanga

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Katibu Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyopo ndani ya chama chao.

Amos Makalla amesema kuwa CHADEMA wamepoteza muda mwingi kuaandaa maandamano na kwamba hawakuwa wamejipanga kushitiki kwenye Uchaguzi huu

Soma pia: Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"

Msikilize hapo chini:

 
Kwenye wale maadui watatu nadhani ujinga unaitesa sana nchi yangu
 
🤣🤣🤣
Hivi aliliona Nyomi la juzi pale Ukumbi wa Sinza Deluxe. Wote wale walikuwa ni wagombea. Asipagawe aiseee
 
Back
Top Bottom