Katibu Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyopo ndani ya chama chao.
Amos Makalla amesema kuwa CHADEMA wamepoteza muda mwingi kuaandaa maandamano na kwamba hawakuwa wamejipanga kushitiki kwenye Uchaguzi huu