Wakuu naomba kujua kuahusu pay ya hawa watu (AMREF Tanzania)? Siku hizi kuna International Organizations ambazo zinalipa chini kuliko hata our local companies. Kwa trend ya makampuni yetu sikuhizi naona ni muhimu mtu uwe na picha ya what you should expect kabla ya kupoteza muda kuandika applications na kuhudhuria interview(s) ...Wengine unafanya interview hata tatu! harafu mnafika mwisho ndo unagundua wanacholipa ni hela ya kujikimu.
Someone who has ever worked with them pse? Graduate anawezapata say 2.5M kama take home?
Natanguliza shukurani!
Someone who has ever worked with them pse? Graduate anawezapata say 2.5M kama take home?
Natanguliza shukurani!