Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kanisa katoliki ndio kanisa na dini ya kwanza, Yesu alipopaa mbinguni alimuachia Mtume Petro maagizo ya kulijenga kanisa kwenye msingi mkuu:
1. Hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa.
2. Funga siku ya Jumatano ya majivu; usile nyama siku ya ijumaa kuu.
3. Ungama dhambi zako walau mara moja kila mwaka.
4. Pokea Ekaristi takatifu hasa wakati wa Pasaka.
5. Saidia kanisa katoliki kwa zaka.
6. Shika sheria katoliki za ndoa. Ee Maria Bikira Mtakatifu, Mama wa Mungu na Mama yangu, nawe Mtakatifu Yosefu, Nawe malaika mlinzi wangu, nanyi watakatifu somo wangu, nanyi watakatifu wote, niombeeni nipate kuacha dhambi, nilindeni siku ya leo na siku zote, na saa ya kufa kwangu, Amina.