Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Wapewe tu kwa kweli...huwa naumia sana serikali kukusanya ushuhuru kwa wamama wauza mboga na faida za mia mia huku ikiwaacha wadangaji hawa wanaoingiza mamilioni kila sikuMwakani baada ya uchaguzi wanapewa tin namba,so relax..ni ajira mbadala!si unajua tena!!!
Tiba mbadala,elimu mbadala,kama hivyo yaani[emoji16][emoji16]
Acha roho mbaya!hawanaga pensheni mkuu.Wapewe tu kwa kweli...huwa naumia sana serikali kukusanya ushuhuru kwa wamama wauza mboga na faida za mia mia huku ikiwaacha wadangaji hawa wanaoingiza mamilioni kila siku
kwaio si wateja wenu ndo mnatuita danga1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga unapoishi,kutaneni na kumalizana juu kwa juu.
8_ukitoka out na danga usilewe,utaliwa mtungo au kurukwa ukuta.
9_kuwa makini na danga linalokula ngada,litakulisha.
10_usitoke ndani bila zana za kazi na za kujilinda.
Na nyoka yule mkuu wa zamani atakutangulia uingiapo na utokapo.
Anima...siyo Amina lakini.

Pigia mstari halafu bold.kwaio si wateja wenu ndo mnatuita danga
AiseeehAhsante ngoja nikaprint nibandike ukutani niwe najikumbusha
Certified idiot1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga unapoishi,kutaneni na kumalizana juu kwa juu.
8_ukitoka out na danga usilewe,utaliwa mtungo au kurukwa ukuta.
9_kuwa makini na danga linalokula ngada,litakulisha.
10_usitoke ndani bila zana za kazi na za kujilinda.
Na nyoka yule mkuu wa zamani atakutangulia uingiapo na utokapo.
Anima...siyo Amina lakini.
Unasemaje mwanangu kipenziAiseeeh
Sorry miss genius.Certified idiot
Natazamie kukuta hizo amri kwenye notice board ya nyumban ?Unasemaje mwanangu kipenzi
Natazamie kukuta hizo amri kwenye notice board ya nyumban ?
Sawa mama yangu mpenzi.Hapana mwanangu