The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
zimewekwa 10, wewe hiyo ya 11 umeitoa wapi? ndo maana nimekujibu kwenye post mojawapo kuwa NINA MASHAKA NA UBONGO WAKO.Amri ya 11, kasome Mwongozo wa Kanisa!
1. Usikumbatie waovu kama Kikwete
2. Usiwe mwizi kama Lowasa
3. Usiwe mwongo kama Makamba
4. Usiwe mnafiki kama Rostam
5. Usidharau pesa kama Chenge
6. Usikose msimamo kama Mrema
7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma
8. Msirumbane ovyo kama CCM
9. Usiwe na kiburi kama Mramba
Amri kuu
10. Usiipigie kura CCM
Habari ndo hiyo
zimewekwa 10, wewe hiyo ya 11 umeitoa wapi? ndo maana nimekujibu kwenye post mojawapo kuwa NINA MASHAKA NA UBONGO WAKO.
Takbirrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Halelu......yaani kama msahafu vile...kama torati ya nabii Musa.
Kweli habari ndio hii