Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Amri Kiemba nani asiekujua wewe, nimekusikia ukisema uchezaji wa Duchu, Chilunda na Mwinuke haujakushawishi, we nani hadi ushawishike na kiwango chao, wakati unacheza soka ukiibuliwa na Kanali mstaafu Kipingu ulitegemewa kuwa mchezaji mzuri kumbe wap, ulipokuwa Yanga uliongoza kwa kutoa pasi kwa adui, uchezaji wako ulikuwa slow mno, yaani ulikuwa kiungo usievutia hata kidogo, ukaenda Simba nako ikawa hivo hivo, kila ukishika mpira ukitoa pasi ulikuwa unampa adui, ukachezea Kagera Sugar ulikuwa mwepesi kabisa, wasiokujua ndio wanaweza kuamini usemayo, lkn wengine tunaokujua na tuliokuona ukicheza mpira tunakuona famba tu.
Siku hizi unajifanya kuongea shombo hasa kwa Simba, mapenzi yako kwa Yanga yako dhahiri, mnafiki mkubwa wewe.
Eti uchezaji wa akina Duchu jana haujakushawishi, wewe ushawishike kwa uwezo gani uliokuwa nao dimbani, we mwenyewe ulikuwa mchezaji wa kawaida tu, unawezaje kuchambua wenzako? We na Jemedari ni watu wa aina gani nyie?
Jana Duchu kaupiga mwingi sana tena amepangwa kwa nafasi ambayo sio yake ila aliimudu, Kiemba, hukuona jitihada za Duchu kushoto kweli? Au chuki zako kwa Simba ndio zinakufanya ulete dharau kwa wachezaji.
Huyu naye kumsikiliza is tantamount to wastage of time.