Amri Kiemba, mchambuzi mjinga na mshamba kuwahi kutokea duniani

Hata timu ya Darasa lao la nne C hajacheza.... Achana na timu ya kitongoji alikuwa mfua jezi...
 
Kama mleta mada ni shabiki wa simba basi wana yanga mzomeeni kolokwinyo ila kama hana ushabiki kama mimi basi atakua anamtaka huyo kiemba akamtilie kiembe matrakoni kwenye mkia😂😂😂
 
Sasa kama siyo bora hayo matokeo yatatokea wapi.

Uliona wapi matokeo yanatokea tu bila mipango.
 
Mimi ni Simba Amri kiemba mchambuzi bora kabisa namkubali sana timu yetu bado kabisa inasua sua hata kocha analijua hilo wewe labda una chuki zako binafsi na Amri.
 
Uwezo wa Amri Kiemba wa kucheza mpira enzi zake anazidiwa na Denis Nkane wa leo!🤣🤣🤣🤣
 
Kacheza Nyota nyekundu na Idrisa Ngurungu.
 
Sisi mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.
 
Punguza munkari hebu nishawishi nami niamini kiemba alikuwa hana uwezo je katika hizo timu zote alizopita alikuwa first eleven au ni bench mpaka ana staafu!
Huyo yupo Kwa ajili ya kutetea ujinga wowote ilimradi ni timu yake. Kocha kasema timu imecheza ovyo na Kila mwenye macho kaona. Yeye na ngonjela zake ànaona timu ilicheza kama Berca ya Guardiola.
 
Huyo yupo Kwa ajili ya kutetea ujinga wowote ilimradi ni timu yake. Kocha kasema timu imecheza ovyo na Kila mwenye macho kaona. Yeye na ngonjela zake ànaona timu ilicheza kama Berca ya Guardiola.
Bongo mpira mgumu sana!
 
Kiemba ndiyo mchambuzi pekee kwa sasa aliyecheza soka la professional kwa Kiwango cha juu hawa wengine hawajacheza soka la professional, labda ndondo cup au bonanza au soka la utotoni.
Anaweza kusomea ukocha na akafuzu.
Kwahiyo uchambuzi wake uheshimiwe na ufanyiwe kazi .
 
Mpe vindonge vyake !! Duchu, Chilunda na Mwanuke bado wana uwezo wa ku-improve bado wanajifunza kwa sababu vipaji wanavyo.

Simba imeamua kuwapa nafasi sababu kwenye ligi ni ngumu kupata dakika uwanjani - sasa makosa madogo madogo lazima yawepo.

Sasa kwa taarifa yenu, game na Singida wataanza tena na Singida atakaa ili mnune zaidi.
 
Umemnyoosha haswa
 
Chilunda anajifunza nini
 
Chilunda anajifunza nini
Chilunda ni kukosa minutes uwanjani, tatizo ambalo analo hata Mmakonde na Phil. Tatizo la kuchezea timu kubwa ndilo hilo - game by game wata improve na haya ndiyo mashindano pekee.
Acheni kocha awape dakika mapovu ya nini. maana wakikaa benchi mnalalamika akiwapanga ni shida.
 
Mimi ni mwanasimba, Kiemba Yuko sahihi, wafuatao Simba hawana uwezo wa kuisadia klabu;

1. Jimmyson Mwanuke,
2. Chilunda,
3. Kapama Nassoro,
Wanaotakiwa kuangaliwa kabla ya ligi kuisha ( wapewe muda wa kucheza angalau dakika kadhaa kwa mechi):-

1. Mohammed Musa ( huyu dogo ana uwezo ajengewe kujiamini na utimamu wa mwili)

2. Hussein Kazi ( apewe mechi za kutosha)

3. Luís Miquissoné ( apewe mechi kadhaa anaweza kurudi)

4. Saido Ntibazonkiza ( asiongezwe mkataba), aachwe aende, ni mzuri ila Hana msaada kwa future ya timu.

5. Clatous Chama ( mkataba ukiisha aachwe), Hana jipya Tena japo bado anatoa kitu lakini si kwa ubora unaohitajika.

NB: haya ni maoni yangu, siyo Sheria🙏
 
Emb tutazame game za Simba hivi karibuni, tazama ile dhidi ya Asec, ile game ambayo Saido alikosa penat inakurudiwa, KMC, mech zote utaona timu ina shida.

Timu inacheza ni kama wana uchovu wa hali ya juu sana.
Naona dhidi ya wydad umeondoa, kwani haifit nadharia yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…