Haya gongowazi ....utopwizoooHawa jamaa aliyewaita Makolo na Madunduka aliona mbali sana..
Mourinho alicheza kidogo, AVB ndio kabisaaa, mourinho alikuwa msugua benchi maarufu, kwenye ligi za daraja za chini huko, aliacha mpira sijui akiwa na miaka 20 na ngapi 🤣😂Achana na AVB, kuna Jose Mourinho amebeba UEFA kadhaa, EPL, Bundesliga, La Liga n.k na hajawahi kuugusa mpira.
Umefunga uzi tyr akikujibu nitagHaya sasa umeshasema ya mwenzako yooote kuwa kacheza Yanga kacheza Simba kacheza Kagera sugar na kacheza timu ya Taifa, sasa tuambie wewe umecheza wapi ili tulinganishe weledi wenu, uzoefu wenu na akili zenu inapokuja ishu ya soka
Makolo sijui kwann huwa hampokeagi ushauri.
Siku akija huko Yanga kuwachachua, mtarudi hapa kumkataaa.Yani kwa sababu kasema usiyotaka wewe kuyasikia ndio mjinga na mshamba? Ulipaswa kuweka hoja zako pekee, mpingane kwa hoja na sio kumshambulia yeye binafsi.
Kwangu Kiemba ni mchambuzi bora kabisa mwenye utulivu, na anajua anachokiongea sababu amekifanya katika uwezo wa juu.
Kuwa na mchambuzi aliyecheza ligi kuu hapa nchini katika vilabu vikubwa ni tunu.
Jamaa ana 'jicho la tatu' kuhusu uchambuzi hii ni kutokana na kuucheza mpira wenyewe hasa nafasi ya kutumia akili yaani kiungo! Viungo wengi huwa makocha wazuri ,haishangazi kuwa mchambuzi mzuri!Kwangu Kiemba ni mchambuzi bora kabisa mwenye utulivu, na anajua anachokiongea sababu amekifanya katika uwezo wa juu.
Kiemba anajielewa, huwezi kumfanamisha na kichaa Jemedari.Siku akija huko Yanga kuwachachua, mtarudi hapa kumkataaa.
Kwa jemedari ilikuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]