Amri Kiemba: Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC utaona analalamika sana kuliko kukumbusha

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo.

Chanzo: Clouds FM
 
Wakati wanashinda game zao na kunifaika na makosa ya waamuzi walikaa kimya..wameanza kutoa sare tayari wanatapatapa na kupagawa hadi wanazi wao uko bungeni kudai VAR.
 
Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo.

Chanzo: Clouds FM
Sijasikia hii kauli lakini jana nilikuwa namwambia mtu,Manara hata kama ana ujumbe wa msingi,namna ya uwasilishaji wake umekosa busara na hekima,na kuonekana mpiga kelele tu

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ameiweka mbele sana propaganda kuliko uhalisia wa jambo lenyewe kiasi hata kujenga chuki na wadau na hata baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari..!
 
Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo.

Chanzo: Clouds FM
Kwa maoni yako hayo unayoita malalamiko yana hoja au porojo tu tuachane nazo Waamuzi wa Tanzania wako vizuri?
 
Kwa maoni yako hayo unayoita malalamiko yana hoja au porojo tu tuachane nazo Waamuzi wa Tanzania wako vizuri?
Wala sijasema waamuzi wapo vizuri isipokuwa nimesema duniani kote suala la waamuzi ni mtambuka, hata wenye VAR bado hawaridhiki na matokeo ya uwanjani.

Vile vile unaweza ukawa na hoja Kuntu lakini mapungufu yakawa namna unavyoiwasilisha na inategemea na hoja yenyewe, kama kudai dakika za nyongeza ni kwa ajili ya timu moja ilhali zinachezwa timu zote uwanjani hapo ni kupiga porojo tu.
 
Hahaha nimecheka kwa sauti eti Manara alalamika kama Amber ruty
 
Yanga hatakuwa bingwa msimu juu. Dalili ziko wazi. Walitakiwa wakae kimkakati zaidi Tena kimyakimya.

Ila Sasa ropo ropo hawezi kukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…