Amri kumi za chuo

millz

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
85
Reaction score
14
AMRI KUMI ZA CHUO.
1.Hicho ndicho chuo chako usiwe
na chuo kingine ila hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo chako
mana utawaumiza wengine.
3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na
kuiheshimu.
4.Waheshimu tcu na uongoz wa
chuo ili upate kuendelea kuwepo
chuon.
5.Usisapu
6.Usidisko
7.Usitumie mkopo hovyo.
8.Usitaman chuo cha mwenzio
9.Usitamani fakat ya mwenzio
10. Usitaman bumu lake wala
chochote alichonacho.
 
mmmmmmmmh kwl :thumbup::thumbup::thumbup:😕:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
kuna nyumba inauzwa maeneo ya mabibo ambae yupo tayari ani PM.
 
Ahaaàa......na amri moja na ambayo ni kibwa kuliko zote ni " mpende lecturer wako kwa moyo wako wote kwa akili zako zote na kwa nguvu zako zote" na ya pili inafanana na ya kwanza nayo ni " iipende chuo kingine km unavokipenda chuo chako"
 

copy and paste
 
11, usisahau kwamba maisha ya kitaani n magumu kuliko
12,be ready to face the really life once you graduate.
13. DO NOT FORGET ALL THE RULES ABOVE.

Good wasaka Elimu.
 

nimezipenda
 
AMRI KUMI ZA CHUO.
1.Hicho ndicho chuo chako usiwe
na chuo kingine ila hicho.
2.Usilitaje bure jna la chuo chako
mana utawaumiza wengine.
3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na
kuiheshimu.
4.Waheshimu tcu na uongoz wa
chuo ili upate kuendelea kuwepo
chuon.
5.Usisapu
6.Usidisko
7.Usitumie mkopo hovyo.
8.Usitaman chuo cha mwenzio
9.Usitamani fakat ya mwenzio
10. Usitaman bumu lake wala
chochote alichonacho.



14.usiwatamani bure wasichana wa chuo maana hawatakuchelesha uvunje amri ya 6 na 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…