MartinDavid
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 874
- 144
amri kuu za uchaguzi tanzania 2010tukizishika hizi nchi yetu itapata maendeleo,
- dr. Slaa ndiye chaguo lako usichague rais mwingine.
- usimpe bure kikwete kura yako.
- shika jina la dr slaa hata baada 31.10.2010.
- wachague rais,wabunge,ma diwani wa chadema upate miaka mingi na heri tanzania.
- waogope ccm kama ukoma.
- usiuze kura.
- usiibiwe kura.
- usisikilize uongo wa ccm.
- usitamani pesa za ccm.
- usimtamani kikwete asiye rais wako.
kumbukeni kupiga kura ni haki yetu ya msingi!!!