Amri kutoka Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi ya Tanzania mwanafunzi yoyote anayejihusisha na mgomo afukuzwe. JAMANI WANACHUO ACHENI KUGOMA HIYO NI AMRI KUTOKA SERIKARI YA CCM

mimi si mwanachuo lakini sijui hao ccm wamekutuma au ni hulka yako tu, umewauliza kwanza wakwambie kwa nini wanagoma? wasikilize kwanza ndo uwape ushauri