Nyie Mama J FC ifike kipindi muanze kufikiria kutumia vichwa na sio masaburi, nyie mlijaza uwanja na still mkapigwa KapumbuSisi tunasubiri tuone Simba mtakavyo ujaza uwanja, Yanga walisha onyesha maana halisi yasiku ya Wananchi.
Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.Kwakweli Simba wamejipanga sana,wanafanya mambo kwa viwango vikubwa.ata mashabiki wa Simba wapo smart sana.
Ajijui kama hajui,anavyofanya ndo anaizidi kuipa credit Simba hasa kwenye Simba day.alaivyoinanga jezi ya Simba ndo kaipa promo watu wakawa wanagombania.Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.
Huyu jamaa amekuwa chizi ,tulisema Yanga ikishinda au kujaza uwanja lazima ajisifu ni yeye.
Sasa anataka Simba isitumie nguvu kujaza uwanja ? Kwanza zile tickets ni biashara hakuna mwandaaji anataka hasara ,na lazima kutumie nguvu kufanikisha kitu.
Msukule anaaza kuwehuka
Ana weweseka sana yule!Naona msukule analalamika Instagram kwamba yeye hajatumia nguvu kubwa kafanya press 3 tu kajaza uwanja ,eti Simba inatumia nguvu kubwa.
Huyu jamaa amekuwa chizi ,tulisema Yanga ikishinda au kujaza uwanja lazima ajisifu ni yeye.
Sasa anataka Simba isitumie nguvu kujaza uwanja ? Kwanza zile tickets ni biashara hakuna mwandaaji anataka hasara ,na lazima kutumie nguvu kufanikisha kitu.
Msukule anaaza kuwehuka
Hata hivo amepoa sasa hivi baada ya kuona timu yao ipo hovyoAna weweseka sana yule!
Na bado watapigwa Nigeria,ngao ya jamii na kwenye mechi za ligi.ndo atajua kama yeye kapeleka gundu kwa misukule f.cHata hivo amepoa sasa hivi baada ya kuona timu yao ipo hovyo
Kule wakifanyiwa tu uhuni mdogo wa Makambo na feisal kupatikana na Corona kazi inakuwa imeisha hata dk 90 hazijaanzaNa bado watapigwa Nigeria,ngao ya jamii na kwenye mechi za ligi.ndo atajua kama yeye kapeleka gundu kwa misukule f.c
Tofauti kubwa sana nayoiona ni hiyo. Jezi zimenunuliwa sanaNimeona mtaani simba mashabiki wengi wamenunua uzi mpya
Kabisa mkuu tofauti na watani wetu, wengi wao wanazo za zamaniTofauti kubwa sana nayoiona ni hiyo. Jezi zimenunuliwa sana