TANZIA Amsterdam: Mwandishi wa habari za uhalifu apigwa risasi na kufariki

TANZIA Amsterdam: Mwandishi wa habari za uhalifu apigwa risasi na kufariki

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Masikitiko kwa wahandishi wa habari.

Mwanahabari ambaye ujishughulisha na habari za uhalifu huko Uholanzi kwa jina Peter R. de Vries amekufa baada ya kupigwa risasi huko Amsterdam.

Alijulikana kwa kujitolea kwake kuchunguza na kufatilia uhalifu ambao haujasuluhishwa na wanahabari wengi ,alichunguza faili zaidi ya 500 za mauaji na alichukua jukumu muhimu katika kutatua kesi kadhaa.

IMG_7751.jpg
 
Apumzike kwa amani.

Binadamu ni kiumbe katili kuliko viumbe vyote duniani.
 
Back
Top Bottom