Mwanahabari ambaye ujishughulisha na habari za uhalifu huko Uholanzi kwa jina Peter R. de Vries amekufa baada ya kupigwa risasi huko Amsterdam.
Alijulikana kwa kujitolea kwake kuchunguza na kufatilia uhalifu ambao haujasuluhishwa na wanahabari wengi ,alichunguza faili zaidi ya 500 za mauaji na alichukua jukumu muhimu katika kutatua kesi kadhaa.