Stamina JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 1,029 Reaction score 565 Jul 6, 2012 #41 Hivi na mimi nikiomba haki ya kutukana nitakubaliwa jamii? tena nitaomba haki ya kumtukana raisi? huu ni upumbavu!!
Hivi na mimi nikiomba haki ya kutukana nitakubaliwa jamii? tena nitaomba haki ya kumtukana raisi? huu ni upumbavu!!
T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Jul 6, 2012 #42 mpaka nahisi kutetemeka.
B Bob G JF-Expert Member Joined Oct 5, 2011 Posts 2,351 Reaction score 449 Jul 6, 2012 #43 Hii ni laaana kubwa!
I Imaima Member Joined Apr 20, 2012 Posts 34 Reaction score 2 Jul 6, 2012 #44 Naona huyo mama hakufaidi ujana wake sasa ndo kazindukia kwa mwanae!!!! Laana hiyo kama ya sodoma na Gomora
Naona huyo mama hakufaidi ujana wake sasa ndo kazindukia kwa mwanae!!!! Laana hiyo kama ya sodoma na Gomora
princess enny JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 1,038 Reaction score 379 Jul 6, 2012 #45 jamani kijana kakwepa gharama za mahali huyoooooooo!! bora wafanye cheap-cheap!!
princess enny JF-Expert Member Joined May 27, 2012 Posts 1,038 Reaction score 379 Jul 6, 2012 #46 jamani kijana kakepa gharama za mahali huyooo!! so bora wafanye cheap-cheap
K Kidogo chetu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,432 Reaction score 992 Jul 6, 2012 #47 Laaanaaaaa !!!! Laaaaanaaaaaaaaaaa
K Kishili Benjamin Member Joined Jul 6, 2012 Posts 53 Reaction score 19 Jul 6, 2012 #48 Laaanaaa!!sodomaaaa!gomoraaaaa!wahamishwe wasije wakawa mfano kijijini!!!!walilewa ama baridi za july?waiharibu sifa ya nchi yetu!
Laaanaaa!!sodomaaaa!gomoraaaaa!wahamishwe wasije wakawa mfano kijijini!!!!walilewa ama baridi za july?waiharibu sifa ya nchi yetu!
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Jul 6, 2012 #49 Hamjaona picha ya huyo kijana labda ana mvuto sana. Msimlaumu huyo mama.
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Jul 6, 2012 #50 Ni nature ya wanawake watu wazima kupenda vijana ambao damu changa na mahandsome. Atakuwa alipenda. Haya sasa ndo mapenzi ya dhati, against all odds. Na wametoroka kwa pamoja hivo dogo atakuwa hadi sasa anaendelea kula mzigo. Wow
Ni nature ya wanawake watu wazima kupenda vijana ambao damu changa na mahandsome. Atakuwa alipenda. Haya sasa ndo mapenzi ya dhati, against all odds. Na wametoroka kwa pamoja hivo dogo atakuwa hadi sasa anaendelea kula mzigo. Wow
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 136 Jul 6, 2012 #51 mwisho wa dunia umekalibia...,2jiandaeni jaman.
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,712 Jul 6, 2012 #52 for sure the world has come to an end,hado shetani anatuogopa....
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Jul 6, 2012 #53 inafurahisha sana kuona watu wanagawiana utamu wao kwa wao within a family
Mnyampaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 244 Reaction score 58 Jul 6, 2012 #54 Back to the Roots. Style ya nyoka kuingia kwenye tundu alikotoka