Selection sizioni naona watu 18 tu inakuaje mkuu
Selection sizioni naona watu 18 tu inakuaje mkuu
AMUCTA Inakuaje jamani.!
Ndio nini hii... chama cha nini!??
Kama umejua ni chama nina imani unaweza jua ni chama cha nini?
watu kama hao unakuta c matatzo yao.kwa hyo unawaacha tu.
uyo jamaa ni PURITENDA mpotezeeniKuna watu ni vichefuchefu sana