Game ya Uganda alipata kadi
Uganda akishinda nxt game dhidi ya cape Verde na sisi tukashida dhidi ya Lesotho tunakua tumefuzu pamoja siku moja tofauti ni mahali tuNimeona matokeo ya Lesotho vs Uganda, 0_2. Uganda wamewachapa Lesotho. Ni matokeo mazuri kwetu,kwani ajili ya nafasi ya pili. Uganda wamebakiza point moja ili kufuzu.
0-2Lesotho vs Uganda wametoka vipi
Unaotaka waekwe bench ndo wamefunga goal za ushindi leoToa Ulimwengu,Morris, himid Mao
weka bench Samatta ,msuva
Ingiza Kichuya,Nyoni,Ajib,ambokile