Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa stars 2 Cape Verde 0Game ngapi huko manyau nyau stars walishapigwa ?
Naomba kikosi cha Leo cha Stars!Taifa stars 2 Cape Verde 0
Kabisa Sioni kipya Kwa UlimwenguUwezo wake ni mdogo sana siku hizi, limebaki jina tu
Nani kafunga hizo goal za stars ?Taifa stars 2 Cape Verde 0
Msuva na Samata.Nani kafunga hizo goal za stars ?
Poa wamejitahidi next time wamfunge Lesotho piaMsuva na Samata.
Amefunga Msuva na Samatta, Samatta pia amekosa penati iliyogonga mwamba wa juu.Nani kafunga hizo goal za stars ?
Kiukweli leo wamejitahidi ila bado tuna mapungufu beki hata umaliziaji sio mzuri mwalimu ayaangalie hayo.Poa wamejitahidi next time wamfunge Lesotho pia
Labda tulipomfunga Chad nyumbaniKiukweli leo wamejitahidi ila bado tuna mapungufu beki hata umaliziaji sio mzuri mwalimu ayaangalie hayo.
Hivi mara ya mwisho Stars kushinda ugenini ilikua lini?.
Mmh kiukweli hatuna rekodi nzuri ugenini, huu mzimu utuachie kwenye mechi ya Lesotho.Labda tulipomfunga Chad nyumbani
Itakuwa mechi nzuri wakijitahidi watashinda..Amefunga Msuva na Samatta, Samatta pia amekosa penati iliyogonga mwamba wa juu.
Wachezaji wapya walioanza leo tofauti na mechi iliyopita ni Kapombe, Nyoni na Yondani wakichukua nafasi za Ulimwengu, Kessy na Mwantika.
Ulimwengu na Kessy walikuwa na kadi mbili za njano ila ukweli Ulimwengu ni mizinguo bora kocha amelazimika kuona wengine.
Mechi ijayo itakuwa dhidi ya Lesotho kwao na tutamkosa Samatta kwa sababu ana kadi mbili za njano. Na amini nimekupa mwanga kidogo wa kilichotokea.
Game hii wakijipanga tutashinda.Mmh kiukweli hatuna rekodi nzuri ugenini, huu mzimu utuachie kwenye mechi ya Lesotho.
This time si zinaqualify team mbili kila group ?Mmh kiukweli hatuna rekodi nzuri ugenini, huu mzimu utuachie kwenye mechi ya Lesotho.
Ndio zitaenda mbili, kimahesabu tunayo nafasi ila bado tuna mlima mkubwa wa kuupanda. Hawa Lesotho wanaweza kutuharibia mkuu.This time si zinaqualify team mbili kila group ?
Kwanin samatta asiwepo?Itakuwa mechi nzuri wakijitahidi watashinda..
Lesotho watakuwa relaxed wakijua samatta hayupo na watakuwa wako nyumbani hivyo watacheza kwa kushambulia stars wakijipanga watashinda
Tulimpiga na south africa mkuuLabda tulipomfunga Chad nyumbani
Ana kadi mbili za njano.Kwanin samatta asiwepo?
Ana kadi mbili za njano.
Game ya Uganda alipata kadiKwani game ya cape verde away alipata kadi?