Amunike anatuhujum, Mil. 50 zetu waturudishie

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Ukiangalia kikosi kinachoa anza, ni rahisi hata kubet na kuiua stars. Kocha huyu hajifunzi hata mechi ya kule verde, wachezaji waliobadilisha mchezo bado amewaweka benchi.

Hivi ametumia akili gani kumweka John Boko dk ya 85? Au anatuhujumu anaona tutawasumbua nigeria?

Aisee, mh Rais, tunataka hela zetu, haiwezekani tupoteze hela kwa wajinga hawa. Yaano hata thamani ya ikulu hawajaiona!

Tuna watu ambao siyo wazalendo kabisa.View attachment 938686
 
Huyu kocha achunguzwe...anatuhujumu waziwazi...
 
Kichuya was the man to start...bocco...mkude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…