Amuua Mkewe baada ya kuambiwa hajatairi, Mahakama yamhukumu kifo

Amuua Mkewe baada ya kuambiwa hajatairi, Mahakama yamhukumu kifo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
KENYA: Mwanaume mmoja, Alexander Kerue mwenye umri wa miaka 35 amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe Doris Thogori mnamo October 26 mwaka 2015.

Mahakama imethibitisha kuwa Mwanaume huyo alimuua mkewe mbele ya watoto wao wawili.

Chanzo cha ugomvi baina ya wawili hao ni baada ya kuzozana na hatimaye mwanamke huyo kumuita mumewe 'Kihii' yaani Asiyetahiriwa ndipo hasira zikamjaa Mwanaume huyo na kupelekea mauaji hayo.


======
A 35-five-year-old man has been sentenced to death by the Nanyuki High Court for killing his wife.

The court was told how the man, Alexander Karue, killed his wife, Doris Thogori, on October 26, 2015 as their two children watched after she called him Kihii, an insult meaning uncircumcised.

Reading the verdict, Lady Justice Mary Kasango termed the incident as inhuman since the accused did it in the presence of their children.

The children who had witnessed the incident narrated in court how their parent’s quarrel began that morning, and later how they found their father holding a knife which he used to decapitate their mother as they watched in horror.

In his mitigation, Karue told the court that his wife fell on the knife he was holding, a statement which the judge refuted claiming that the doctor’s report showed that the woman’s injuries were not from an accident.

Source: The Citizen
 
Hii shida kweli ya hawa jamaa si angempeleka tu hospital akatahiriwe ya nini maneno ona sasa yamemkuta
 
Na yeye amekaa na hilo go,,,vi la nini karne hii,acha afungwe ila watoto watateseka sana
 
Wenye magovi tuna tabu jamani...ndio maana mm langu huwa nalibetua wasione hawa
 
Kwani kuwa na govi ni kilema?? Ni choice ahaaaa. Halafu sisi huwa tunawafikisha kileleni wake zetu kwa urahisi kwa sababu kichwa hakijawa sugu, kina sensitive cells karibu zote.
 
Sasa huyo mwanamke hilo govi si ndio lilikuwa linamburudisha kwanini tena anamdhihaki jamaa,afufuliwe kisha auliwe tena
 
Back
Top Bottom