Amuua mkewe kisa house girl!

Amuua mkewe kisa house girl!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Bwana mmoja huko Sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo!

Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila ukiachwa achika jamani sio kuwa king'ang'anizi kama.

kupe!
20220602_074959.jpg
 
Kwa hiyo kaua ili aoe na sasa anaenda kuolewa yeye na Wajuba wa Jela.
 
Bwana mmoja huko sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo! Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila ukiachwa achika jamani sio kuwa king'ang'anizi kama kupe!View attachment 2253095
Mhm huyo ndio house girl???
 
Bwana mmoja huko sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo!

Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila ukiachwa achika jamani sio kuwa king'ang'anizi kama kupe!View attachment 2253095
Uzi umekamilika maana una viambatanisho vyote
 
Back
Top Bottom