Amuua Mkewe na yeye mwenyewe kujilipua kwa bomu

Amuua Mkewe na yeye mwenyewe kujilipua kwa bomu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Garissa Kenya

Taarifa kutokea Garissa nchini kenya zinaeleza kuwa Askari Polisi amemuua girl friend wake na yeye mwenyewe kuamua kujiua kwa kujilipua na bomu

Chanzo chadaiwa ni wivu wa kimapenzi

The Citizen
 
uanaume ni kumuua anayekula chakula yako sio kuua chakula yako
 
Huwa mnatoa wapi hizi mastory za kipuuzi? Halafu hata hazina sources wala links.
 
Back
Top Bottom