Amuua mtoto wake kwa risasi akidhani ngedere

Amuua mtoto wake kwa risasi akidhani ngedere

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
413
Mkazi mmoja wilayani Mpanda mkoani Rukwa anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji baada ya kumuua mtoto wake kwa kumpiga risasi akidhani ni ngedere wakati akilinda shamba lake la mahindi.
 
Back
Top Bottom