Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 413 Jan 10, 2009 #1 Mkazi mmoja wilayani Mpanda mkoani Rukwa anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji baada ya kumuua mtoto wake kwa kumpiga risasi akidhani ni ngedere wakati akilinda shamba lake la mahindi.
Mkazi mmoja wilayani Mpanda mkoani Rukwa anashikiliwa na polisi kwa kosa la mauaji baada ya kumuua mtoto wake kwa kumpiga risasi akidhani ni ngedere wakati akilinda shamba lake la mahindi.