Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #41
Kuna yule rasi wa pool table aliua mwenzake kisa mia mbili, nae ni Beto kamchoma tumboni kwishaBuku Tu inamtia mtu Hasira na Ghadhabu hadi kuua mtu, harafu mnaulizana Wasiojulikana wanatoka wapi? Mtu kama Kareem akipewa 1M akutoe Roho ni chaap tu
Asilimia kubwa hao ndo wakabajiKamari ni janga la taifa
Ukifatilia matukio yote yaliyo tokea ya kuuana vijana lazima mpuliza bangi awepo, hata yule rasi alie muuza mwenzake kisa mia mbiliMkuu bangi jau...
Asilimia 90
Ni hatari sanaKaka ukiona kwenye familia Yako Kuna bangi smoker, au dawa asee omba MUNGU sana kubadilikiwa ni kigusa
Bange cha mtotoYaani serikali inapopiga marufuku bange muwe waelewa.
Washapiga visungura haoNdio man serikali inakataza bangi Kwa kweli ni mtihani sana, lakini haya mambo haya, ukiona mumeo au nduguyo anacheza kamali au kuvuta bangi kaa rede
Kobaz ametuulia ndugu yetu mgalatia. Wagalatia tusikubali tuandamaneni.Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Hao wote walikua washikaji yani marafiki hivo ni mis understand ndogo tu mara nyingi unaeza Kuta huyu dick ndo alianza kum attack mwenzake Kareem akajitetea na ku wini the match, kitendo tu cha yeye kuto kutoa pesa na kaliwa ni dhahiri jamaa ni mkorofi, huenda ndo ilikua pigo zake hivo akahesabiwa mda kajaa wakapita nae
Mavuta bange matupu, sura zinajieleza.Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Timing inavo onesha jamaa alitaimiwa kikazama kamati sio poa roho mkononiMavuta bange matupu, sura zinajieleza.
Madhara ya bangi ni mengi kuliko faida zake hata kama kuna kanuni zakeTuheshimiane bangi Ina kanuni zake na taratibu zake za kuitumia sawa
Kamali = BettingKamari ni hatari kuliko hata bange
Kamari na unga vipo draw match. Uraibu wake ni hatari sana.Kijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Kuna mtu katolea mfano nchi za wenzetu mbona zimeendelea na wanavuta bangi fresh tu, akasahau kua huko kupigwa risasi kitu cha kawaida kabisa hayo yote ni madhara ya bangiKamari na unga vipo draw match. Uraibu wake ni hatari sana.
Tukio hilo limetokea wapi/maeneo yapiKijana aloefahamika Kwa jina la Dickson ameuwawa Kwa kuchomwa kisu cha shingo na rafiki yake Kareem.
Tukio hili limetokea dar, kiwalani.
vijana hao walikua wakicheza kamali, ndipo Dickson aliliwa buku na kugoma kuitoa, Kareem alichukia na kutoa kisu Kisha kumshambulia shingoni mara mbili na kukimbia. Dickson ni mwenye mavazi mweupe na Kareem ni huyo wa pembeni
Kiwalani dsmTukio hilo limetokea wapi/maeneo yapi
Ova
Visungura,double kick hz cheap pombe za kupima ndiyo shida namba mojaKiwalani dsm