dah! taratibu LD, usije ukavunja skrini kwa hasira.
kilio chako nimekiskia LD, acha niwasiliane na ustawi wa jamii nione ni namna gani tunaweza tukatatua hili tatizo. tunafrahi sana mkionesha hisia zenu, kwasababu mnatupa sababu ya kuwajibika. ubarikiwe sanaAcha tu Klorokwini, mi habari za hivi zinanifanya niwachukie sana wanaume kwa kweli. Mi sijui bwana sio wote lakini daaaaa why men use their uanaume kutesa na kunyanyasa wanawake??? Why? Why?
Ndugu zangu,
kwenye gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa tatu kuna habari yenye kichwa cha habari kama ilivyo hapo juu. Bahati mbaya hawajaipost lakini imeandikwa hivi;
Mwanaume ambaye hakufahamika jina lake katika hali isiyo ya kawaida, juzi usiku alitumia fursa ya milipuko ya mabomu kumshawishi msichana aliyekuwa akihaha kutafuta hifadhi akiwa na mdogo wake mgongoni, wafanye vitendo vya ngono......(inaendelea lakini habari kuu ndiyo hiyo)
kilio chako nimekiskia LD, acha niwasiliane na ustawi wa jamii nione ni namna gani tunaweza tukatatua hili tatizo. tunafrahi sana mkionesha hisia zenu, kwasababu mnatupa sababu ya kuwajibika. ubarikiwe sana
hapa ni usiku wa mapema sana. kwa kiingereza wanaita evening.Ha ha ha, haya bwana Kloro, hebu ngoja nilale zangu, hivi na wewe ni usiku kwako, au ni jioni lol!!
Ndugu zangu,
kwenye gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa tatu kuna habari yenye kichwa cha habari kama ilivyo hapo juu. Bahati mbaya hawajaipost lakini imeandikwa hivi;
Mwanaume ambaye hakufahamika jina lake katika hali isiyo ya kawaida, juzi usiku alitumia fursa ya milipuko ya mabomu kumshawishi msichana aliyekuwa akihaha kutafuta hifadhi akiwa na mdogo wake mgongoni, wafanye vitendo vya ngono......(inaendelea lakini habari kuu ndiyo hiyo)
Acha tu Klorokwini, mi habari za hivi zinanifanya niwachukie sana wanaume kwa kweli. Mi sijui bwana sio wote lakini daaaaa why men use their uanaume kutesa na kunyanyasa wanawake??? Why? Why?