Nawasiwasi sana kama sio chadema wenyewe kuna walioshiriki mauwaji ya Ali kibao ili kumchafua mama, hata tundu lisu pia nina wasiwasi kuna viongozi ndani ya chama chake wamemshoot.
Nawasiwasi sana kama sio chadema wenyewe kuna walioshiriki mauwaji ya Ali kibao ili kumchafua mama, hata tundu lisu pia nina wasiwasi kuna viongozi ndani ya chama chake wamemshoot.
Ndugu yangu Kamundu iko hivi, matatizo ya kisiasa hutatuliwa kisiasa. Kamwe, matatizo ya kisiasa hayawezi kutatuliwa kiimani.
Huko ambako ndiko hiyo biblia ulionukuu iliandikwa, mpk kesho wameshika bunduki wakijilinda dhidi ya ama kuwachapa Hamas. Kwanini wao hawakumwachia Mungu.?