Kwa bahati mbaya tunaposoma ama kusikia jambo huwa linatupa picha ya maisha tunayoyajua na yanayotuhusu. Wanajf wanamfikilia huyo barmed kama wale mabarmaid wa bar tunazokunywa ambazo mhudumu anabadiri sale kila siku. Mhudumu ukifika kwake amepanga vyumba viwili na seble. Tv kubwa, set ya sofa kutoka china. Mhudumu anayehongwa laki kiwango cha chini. Mhudumu ambaye ukimnunulia bia ya elfu 2 anasema asante kisha moyoni anasema hawezi kunywa makapi ya pombe. Ukweli nikuwa huyo mhudumu wateja wake hawana hadhi ya jf. Pia mkumbuke wanaume wasio na magari jf tuko watatu tu. Na sisi tuko mbioni kuyanunua mwaka ujao