oneflash
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 814
- 600
For those people who underestimate the power of sports. Angalia vile hawa jamaa wa Bahrain vile wanamkaribisha Malkia mzaliwa wa kenya waliyemridhi baada ya kuwatwalia dhahabu. Hii ni funzo kubwa kwetu kama wakenya ambao tumezoea haya mambo na kuona yakiwa ya kawaida tuu. Mungu awabariki wanariadha wetu. Licha ya kutuzolea sifa kochokocho dunia nzima na kuinadi nchi yetu kwa ajili ya manufaa yetu kama wakenya, hatujawahi watimizia ya kutosha ipasavyo.