Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Putin ameisha anapiga kelele kuliko mbuziAcha basi Mkuu ..yaan Vikwazo vya kiuchumi, ulinganishe na Nyukilia !!?.
Semea kwamba ,Putin hawezi tumia Nyukilia kama Hajashambuliwa na NATO.
Lakini yeye anamalizwa vizuri sn yaani hana pakwendaPanya ukimsukumiza kwenye kona ukaanza kumpiga, anaweza kukurukia. Putin sasa hivi yuko kama panya kwenye kona, anaweza kufanya lolote na hata kulipua bomu la nyuklia.
have freeze
Askari mwenye njaa aliyebanwa na vikwazo mwenye shida kila kona Putin akimpa amri apige risasi Ukraine atageuza bundki na kumtandika Putin sababu anajua yeye Putin ndie kasababisha yote hayoPanya ukimsukumiza kwenye kona ukaanza kumpiga, anaweza kukurukia. Putin sasa hivi yuko kama panya kwenye kona, anaweza kufanya lolote na hata kulipua bomu la nyuklia.
Sijaelewa hapa.They should all humble let the world move on..
Wanamwita “Nigeria with Snow”Na wengine wanamwita “Burkina Fasso with Nuclear”Putin ameisha anapiga kelele kuliko mbuzi
When you knew all these, Russia knew it long time ago. They weighed it against letting NATO urinate on their backyard! Then they took the right decision.Almost all Western and European Nations have frozen all Russia's assets/money including Baba Switzerland itself,😫😩
YouTube, Facebook and more have blocked Russia..
FIFA and UEFA has banned all Russian teams both National and Clubs they can't participate in any world level contest.😳😳
Russian Banks removed from SWIFT list..
The Russian Central Bank 3ple Rates by about 20% (means the heat is hitting them and might head to inflation)..
Fuel/Gad price increase all over the West and Asia.
Russia is in a very tight corner now without them being fired a bullet from anyone.. but fired an economic Bomb 💣..
They should all humble let the world move on..
AtulieWanamwita “Nigeria with Snow”Na wengine wanamwita “Burkina Fasso with Nuclear”
Wajuaji hawakosekani JF."...have frozen..." Rudia tenses (shule ya msingi). Ukiandika Kiswahili utaeleweka kirahisi kabisa katika hadhira hii kuliko kuharibu lugha ya watu!
Wajuaji hawakosekani JF.
Mtu kajipinda kuleta kauzi na bado mnamdonyoa
Lakini atakaowalipulia nao pia wanazo nukes!Panya ukimsukumiza kwenye kona ukaanza kumpiga, anaweza kukurukia. Putin sasa hivi yuko kama panya kwenye kona, anaweza kufanya lolote na hata kulipua bomu la nyuklia.