an help please:field attachement place

1701

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
862
Reaction score
365
habari zenu wanajamvi,mimi ni mwanafunzi wa bsc economics mwaka wa tatu mzumbe,tunatakiwa kuwa field kuanzia mwezi wa kumi mpaka mwakani mwezi wa pili.nmeomba sehemu tofauti tofauti lakini kwa bahati mbaya sijafanikiwa kupata..kama kuna mwanajamvi ambaye ofisini kwake kuna nafasi naomba ani-pm tafadhali.ni muhimu sana maana usipofanya field umedisco moja kwa moja.

Natanguliza shukurani
 
...ushauri: ungeelezea zaidi unataka kufanya field katika vipengele gani vya BSc Economics
itasaidia watu kuelewa zaidi.
 
communication skills ulipata alama gani?hakuna kitu kama "an help"
 
[h=2]
Re: an help please:field attachement place[/h]
kuna uwezekano hapo kwenye red pakawa pamekukosesha field?..natania tu
 
acha masihara, fanya uwezavyo upate field...tafadhali fanya juu chini upate field kabla ya mwezi huu kuisha, jaribu kubeba copy za Provisional results+ A-level and 0-level certificates kisha tembelea Bank hususani CRDB physically, check TBL physically, Check NSSF , NBS,Air Tell, TTCL,TIGO,TWIGA CEMENT, Audit firm KPMG, DElloitte, E$Y,Pwc, Na wizara office zao, kama ukiweza waambie wakupe mkoani, wewe waambie upo tayari bila malipo na ongea kama mtu mwenye shida, dressing code usivae kihuni (kimini, kata k z strictly prohibited) fanya uwezavyo usikae nyumbani, tafuta field kuna watu waliwahi kuomba field sehemu zaidi ya 20 hawakupata kabisa usishangae.....nimemaliza all the best
 
swala la topic gani utajua ukishapata field
 
popote pale mkuu...topic nliyochagua haina ulazima wa kukusanya data ofisi ntakayofanyia field....na kwa bahati imepitishwa
 
nashukuru mkuu.nitafanyia kazi ushauri wako..nmeomba sehemu kama kumi na sijafanikiwa kupata hata moja
 
...ushauri: ungeelezea zaidi unataka kufanya field katika vipengele gani vya BSc Economics
itasaidia watu kuelewa zaidi.
popote pale mkuu...topic nliyochagua haina ulazima wa kukusanya data ofisi ntakayofanyia field....na kwa bahati imepitishwa
 
Zingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…