An open letter to Foreign envoys violating diplomatic laws and protocols

Kwako wewe unaamini uonevu utakwisha kwa kusaidiwa na ubalozi? Hawa wanaoshindwa hata kukemea utumwa walioufanya kwa africa? Hawa wanaonyonga watu Afghanistan? Hawa wanaotaka haki za mashoga? OK kaka endelea.
Angalia nae huyu,hiyo kesi mliyojichanganya tumbo la uharo lazima liwapate,nani kakwambia Chadema wamewaita mabalozi labda uwazuie wewe maana Mulamula yuko hoi kajaribu kuwazuia lakini hola.
 
Justice must done and seen to be done. Why are you worried of seeing ambassadors interested on this Mbowe Vs Public (Gvt).
Huoni aibu kufungua kesi ya namna hiyo badala yake unaona aibu mabalozi kuja kuisikiliza?
Tuuite weledi wa Kitanzania
 
Those ambassadors are stupid, and our leaders are useless. A leader will show them the door.
 
Exquisite....

This is an utter violations of international laws these ambassadors have done....

It's shame for them to show such disrespectful to the sovereign nations....

I bet such an awkwardness could not be done by foreign profiles in their own countries.....

It's a high time now for our foreign affairs minister to take the matter before the United Nations .....

#SiempreJMT
#TanzaniaIsASovereignNation
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Ficha "uhobobo" wako....

Kuna makosa yepi ya kisarufi juu ya hili bandiko?!!!!Khaaa 😲😲😲🤣

Bandiko ni la KIZALENDO haswa.....

Kudos kwa ndugu Masinde.....
 
watu badala ya kumuelewesha wameanza kwa kumkejeli, tunasafar ndefu kufikia democracy
 
Kwako wewe unaamini uonevu utakwisha kwa kusaidiwa na ubalozi? Hawa wanaoshindwa hata kukemea utumwa walioufanya kwa africa? Hawa wanaonyonga watu Afghanistan? Hawa wanaotaka haki za mashoga? OK kaka endelea.
Wewe mtu kuwa shoga inapunguzia nini? si kapenda mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…