SOGHOO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,268 Reaction score 567 May 21, 2015 #1 Men who ejaculate more regularly throughout their lives lower their risk of the disease. if sperm is regularly cleaned out to allow new cells to develop, it helps stop the build-up of old cells that might be more likely to turn cancerous
Men who ejaculate more regularly throughout their lives lower their risk of the disease. if sperm is regularly cleaned out to allow new cells to develop, it helps stop the build-up of old cells that might be more likely to turn cancerous
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 May 21, 2015 #2 Hizi tafiti nyingine za kizushi na uongo,tunaletewa tu kutoka Nchi za magharibi na sie tuna copy. We jiulize kwanini Cancer hiyo ipo sana kwa watu wa mjini kuliko Vijijini?na wakati mjini ndio full kuchepuka. Na vijijini watu wanatafuta maisha muda mrefu.Na upuuzi wa ugonjwa huu kwao hata hawajui kama kuna kitu hiki.
Hizi tafiti nyingine za kizushi na uongo,tunaletewa tu kutoka Nchi za magharibi na sie tuna copy. We jiulize kwanini Cancer hiyo ipo sana kwa watu wa mjini kuliko Vijijini?na wakati mjini ndio full kuchepuka. Na vijijini watu wanatafuta maisha muda mrefu.Na upuuzi wa ugonjwa huu kwao hata hawajui kama kuna kitu hiki.