Hizi tafiti nyingine za kizushi na uongo,tunaletewa tu kutoka Nchi za magharibi na sie tuna copy.
We jiulize kwanini Cancer hiyo ipo sana kwa watu wa mjini kuliko Vijijini?na wakati mjini ndio full kuchepuka.
Na vijijini watu wanatafuta maisha muda mrefu.Na upuuzi wa ugonjwa huu kwao hata hawajui kama kuna kitu hiki.