tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu saa ivi iliyopita.
kama imekaa kiuchochezi
tcra fanyieni kazi izi msg as zaweza leta uvunjifu wa amani
Na chadema nao waandike zao... Tena zipo nyingi tu:a s 13:
unajua kuchukuwa taarifa kama hizo na kuziweka hapa ambapo wengine walikuwa hawajuhi ni kuwapa nguvu hao jamaa kwani kuna baadhi ya watu wanaweza kubadilika kwa hizo sms tuu!
Kujua sender wa msg sio big deal kabisa it takes no time...ila koz zinalenga kukisimamia chama tawala ndo maana hakuna kinachofanyika....Ila as mchangiaji wa juu hapo alivyoaindika kuwa Time will tell........
tusimpe nafasi shetani ya kulimeza taifa lenye amani kwa udanganyifu wa sera zisizotekelezeka wanazotoa upinzani.
pasipo kikwete na ccm taifa hatarini
my take
hii msg wamenitumia ccm kama nusu saa ivi iliyopita.
kama imekaa kiuchochezi
tcra fanyieni kazi izi msg as zaweza leta uvunjifu wa amani
Hivi mfano hizi message zingekuwa zina msema JK, TCRA/Police and the rest, wangesema kuwa hawawezi kuzishughulikia mpaka uchaguzi upite??