wakuu,jana kuna rafiki yangu ana mke wake,amekuja niuliza ki2,kuwa yeye ana mke wake wameona yapata miaka 2 sasa na hawaja bahatika kupata mtoto!ila tatizo kubwa alilo nalo shemeji yangu ni kuwa mala nyingi huwa anaona cku zake kwa muda wa siku moja tu!na ni kidogo sana,ikizidi sana ni cku mbili nayo huwa ni nadra sana,ana miaka 31.je hilo ni tatizo? Linaloweza kuwa linachangia kutoshika mimba? Japo yanaweza kuwa ni mengi..ckuwa na jibu la moja kwa moja la kumpa,na je hapa dar ni hospital gani nzuri anaweza akaenda kufanyiwa vipimo kama ni tatizo.