shareef95nes
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 108
- 16
Unaishi dsm ?
Mpeleke akasome foundation course kifaulu atajiunga na ngazi ya cheti(certificate) katika chuo chochote kile hapa tanzania
dv 4-33?
Hafai kanisani,
hafai msikitini,
Hatufai kwenye fani!
habari zenu wakuu,
kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana, amepata D mbili ambazo ni D ya maths na ya kiswahili,sipendi kuona dogo anakahome nataka kutafutia kitu cha kufanya sasa nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wakupata chuo chochote kile hapa Tz ambacho ninaweza kumpeleka.naamini kuwa wanajf niwashauri wa zuri,nategemea majibu ya hekima na busara ili niweze kumsaidia kijana huyu.ahsanteni!!
Mdogo wako alifanya nini na muda wake kwa miaka minne?
duuuh!!! Sasa anatufaa kwenye nn? Au anamaliza oxygen 2
anafaa kuwa kiburudisho