Ana face Paper Ngumu sana..

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Ni msela wangu wa karibu sana, anakaribia kufunga pingu za maisha very soon na mchumba wake, lets say R,

Jamaa alikuwa na Mahusiano na binti Flani hv lets say Q,

jamaa kamwambia live Q juu ya azma yake ya Kumvuta R,

Q anamjua R na alikuwa anagombana sana na jamaa kuhusu hili,

Jamaa ame scruntinize na kujua kuwa (yeye) kuwa na wote sio ujanja wala nini so akaamua atangaze ndoa na R na ampe live Q about this, Msela katumia busara ya hali ya juu kuli present hili kwa R.

Tulimshauri of course; R alipowasilishwa hili alisikitika sana ila hakuwa na jinsi, as days goes on R anazidi kujitahi kuwa close na msela (Msela inaonekana ana mega kisela still kwa Q), ila msela ana feel guilty sana na hii issue, anaomba ushauri afanye nini.

Naahidi ntampelekea lolote mtakalochangia as Msela sio JF member
 

mkuu tulia basi....unamix sana bana....ipi ni ipi sasa.....?
 
Eyo msela, msela anamega still.......yoyo msela sio member wa JF. Eyoo msela meeen, msela yoyooooooo!! Dah, kamata microphone mtu wangu unafaa sana kuchana meeeeeeeen! Oooh maaama {source : Sharo milionea}!!!!
 
mkuu tulia basi....unamix sana bana....ipi ni ipi sasa.....?

R na Q na msela bado anavinjari kisela...mi pia sijaelewa mhandisi tulia hapa akija umulize then uje unieleweshe
 
R na Q na msela bado anavinjari kisela...mi pia sijaelewa mhandisi tulia hapa akija umulize then uje unieleweshe

labda 2jaribu kusoma kichwa cha habari 2naweza kupata maana!! ANA FACE(uso) PAPER(karatasi) NGUMU SANA.
 
R na Q na msela bado anavinjari kisela...mi pia sijaelewa mhandisi tulia hapa akija umulize then uje unieleweshe

na we ukiisha eleweshwa,uje unieleweshe na mim.
 
Story zako za L,M, N, P ,Q zafurahisha sana bramo! Si usemage ni wewe tu? Km uko na 2 gals, unawachanganya huku unataka mmoja awe mkeo haitawezekana. U must be seriaz kumwacha mmoja kwa dhati na ieleweke hvyo. Otherwise after ndoa na mmojawapo, mtakuja leta tabu kwa ndoa. Ataumia mkeo na itakucost kurejerha trust na huenda isiwe ndoa tena, ikawa ndoana. Thnk twice, nani wamtaka ukishajua, mwaga mwingne seriazly, oa na u2lie. Utakuja letewa mimba huku umeoa then mgogoro na mkeo cjui utaubebaje? Au ukishindwa oa mitala...kushney!
 
Mimi nimeshindwa ku-form equation hapo jamani!.
 
mapenzi ya siku hizi bwana... watu hawaogopi kucheza na feelings za wenzao!! sasa anaomba ushauri upi hapo mana sijaelewa...
naomba nikuambia mkubwa..kama ni wewe au kama ni kweli ni kwa ajili ya rafikiyako, inaonekana ndo tabia yake/yako hiyo, hakika nakuambia hakuna wana JF watakalomshauri akabadilika...huyo jamaa ni player na atabaki kuwa player!! Tu mwambie aendelee na mkakati wake wa kuharibu mipango ya ndoa yake ijayo kwa kuendelea kula pote pote.

katika maisha kaka feelings za mwenziwako usicheze nazo kabisa...sasa unasema R anajua kuhusu Q, nakuambia R ataingia kwenye ndoa kwa kuwa ana shida ya kuolewa kwa wakati huu...ila jua katika maisha yote ya ndoa, huyo R wako hatakuja kukuamini kwa kila utachofanya...nakutabiria huko mbeleni hutakuwa na amani katika ndoa kwa ajili ya hiyo mbegu ovu iliyopandwa sasa... Ingekuwa bora sana kuoa msichana mwingine tofauti na hao wawili kuliko huyo R au Q ambao wote wanajua maovu yako...watatumia madhaifu yako ya sasa kukuhukumu miaka ya mbele ijayo maana taswira za udanganyifu katika mapenzi sio rahisi kufutika na ikifutika inachukua mda mrefu sana mpaka kuisha na hii ni baada ya kazi kubwa ya ziada kuthibitisha umebadilika kweli, kazi ambayo sio rahisi.....

Huko mbele nakuambia huyo R hatakuamini hata chembe linapokuja suala la wanawake na atatumia uovu wako wa sasa kukusimanga kila wakati utakapomkosea hasa suala linalohusiana na wanawake...ndoa yako haitakuwa na amani na utakuja kujuta kwa nn ulimwoa..

JF ipo na wana JF tupo, utakuja kutupa ushuhuda kwa hili nililotabiri

nawasilisha
 


hivi bongo hii kuna watu wana imani 100% kwenye maloveeeeee! unachotakiwa ni kushi kwa matumaini tu!
 

Umeachana na X and Y, sasa hivi umehamia kwa R and Q?
Pole sana, utavuna ulichopanda..sioni kama una haja ya kuoa wakati bado wewe ni player Boy.
Unalofanya sasa linaweza kufanya maisha yako yote yakawa ya majuto na yasiyo na amani.
Hivi huyo R unayetaka kumuoa, siku ukijua nae ana mshikaji na bado anamegwa kiaina utajisikiaje? kwa nini unamfanyia mwenzako kitu ambacho wewe ukifanyiwa kinakuumiza?
 

Meona eeh? Mshkaji ni full kimeo, hajui anataka nini! Ka simu mbovu mara awake mara azimike, mradi anamkera mtumiaji!
 
Sio mie Mkuu, ni msela, mie Mbona ile issue ya X na Y nsha solve tayar, kitambo sana nshavuta X tayar......
 
Mkuu, ile ya X na Y mbona ishaisha kitambo sana, ni msela wangu ana face hii situation though unaweza kuona ina relate na ile ya kwangu Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…