Ana kwa Ana na MO Ndani ya Vogue!

Ana kwa Ana na MO Ndani ya Vogue!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Nimeonana naye wakati nikitokea maeneo ya ifm kuja ikulu,yeye yupo na vogue nyeusi yenye plate number ya MO.(Mohammed Dewji)
 
Aseeee...
Ukajisikia raaaahaaa.....!

Ameni-inspire napenda sana kukutana na watu wenye mafanikio wananitia machungu ya kufight more,Nimeshangaa kuona na yeye ametoa mil5 kuweka Plate No ya MO.
 
ukitaka kumuona tena tembelea maeneo ya oysterbay hotel mida ya mchana cku za wiki uwa anapenda kwenda pale ucpate tabu tena ya kuwa unamsubiria kwa road.....ha ha ha

Eheee sasa mda wote yupo dsm hao wapiga kura wake anawasikliza mda gani? au ndio ukiwa na hela ukirudi baada ya miaka mi5 unamwaga mabillions.....
 
Inferiority Complex !
Kwani unakutana na watu wangapi njiani ?
 
Nimeonana naye wakati nikitokea maeneo ya ifm kuja ikulu,yeye yupo na vogue nyeusi yenye plate number ya MO.(Mohammed Dewji)

Weeee Mo ofisi zake zipo pale Golden Jubilee ghorofa ya 20.
na Lunch timeuwa anatembea kwa miguu yake jamani Vogue linapakiwa pale nje kwenye parking.
Mbona wa kawadida tu
 
Back
Top Bottom