Ana laki tano cash, afanye biashara gani?

Ana laki tano cash, afanye biashara gani?

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Dogo anataka kuhama kwao amechoka kula kulala. Mfukoni ana laki tano na ushee. Kaomba ushauri kwangu nimemuahidi jioni nitampa jibu ili nije huku kwa akili kubwa/Great thinkers kuulizia.

Yupo Dar.
 
Kuna uzi nyingi sana humu kuhusu hii topic, anza kupitia archives halafu uone ipi itamfaa.
 
Aanze kuuza mishikaki na viepe,hana mpenzi huyo dogo? Maana laki 5 sio hela kama tayari anajua kuhonga!
 
Mkuu toa elimu kwa faida ya wote

Forex inahitaji elimu ya kutosha kuihusu yenyewe pia inahitaji uvumilivu na unapaswa uwe na nidhamu ya hali ya juu!,tamaa ni kitu kisichofaa sana forex!.. siungi moja kwa moja jamaa kwa hiyo fedha aingie forex bali aangalie cha kufanya kwanza forex ipo tu atajifunza baadae.. baishara zote unaweza kupoteza fedha lkn forex unaweza kupoteza kwa haraka Sana haswa usipozingatia! Na kinyume chake forex inaweza kukupatia fedha Sana tu ukienda vizuri ktk nyanja zake.
Narudia tena inahitaji elimu ya kutosha kuihusu yenyewe nidhamu ni kitu cha msingi Sana..

Mkuu ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom