Ujuzi au skills acquisition ni muhimu kuliko degree zisio kua na practicle skills, Kaka angu nae mfuata ameangaika na vyeti vyake kufanya accreditation ili aondoke navyo ughaibuni apate ajira.
Kumbe alivofika kule fursa ilio msaidia kuendelea kuishi Toronto Canada ni kuingia chuo cha kati (VETA) kupata ujuzi special wa healthcare, vile vyeti vyake hajavitumia tena kasha virudisha hapa Tanzania kwenye kabati haoni kama kuna siku atavitumia tena.
Watanzania wengi wana fikra potofu kwamba kupata degree ndo mwisho wa elimu ya juu bila ujuzi maalumu wakiambiwa kuenda Veta kupata skills wanaona kama wa medharauliwa, lakini kwa hali halisi graduate watanzania ni mueupe kabisa hata awe muhadisi au mualimu hata lugha tu ya kiingereza alio somea miaka yote anashindwa kuimudu, kuna haja ya kubadili mfumo wa elimu na mindset zetu ziwe relevant na ajira ziliopo kwa sasa.