Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa maelezo sawa sawa, ni mtoto wa kike au wakiume?Naomba mawazo yetu
Peleka shule akasome achana na QT,Wa kiume amemaliza la saba fresh tu na amepangwa shule maalumu
Mwache tu aendelee na sekondariWa kiume amemaliza la saba fresh tu na amepangwa shule maalumu
Kwa elimu hii ya bongo bora asome miaka 2 ya QT kama kichwa chake kipo smart.Naomba mawazo yetu
Mi nashauri tu huyo Dogo wa Miaka 14 abaki Nyumbani alafu wewe ndo uende Shule.Pungu misuko suko ya akili legeza fuvu
Sikuhizi Fani tunachagua Form oneKumeanza kuchangamka sasa,.
Wazazi acheni ujuaji sometimes
Miaka14 unataka umuwahishe wapi?,. Mwache walau amalize kidato cha nne
awe anajitambua anataka nini ndio achague fani anayoitaka
SawaSikuhizi Fani tunachagua Form one
Huna akili timamuAna miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha?
Naomba mawazo yenu.