Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Jan 26, 2011 #21 Maria Roza said: Mwanamke tumbo :suspicious: Click to expand... Tumbo la chipsi, kuku wa kisasa, bia na kiti moto!
Maria Roza said: Mwanamke tumbo :suspicious: Click to expand... Tumbo la chipsi, kuku wa kisasa, bia na kiti moto!
F Ferds JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 1,263 Reaction score 192 Jan 26, 2011 #22 Raia Fulani said: Tatizo la kulelewa na mama pekee ndio matokeo yake. Click to expand... nonsense, crap,utumbo, ujinga, zumbukuku,mwehu, shaitwani.......................uache kututusi, mama ndio aliempeleka hapo?
Raia Fulani said: Tatizo la kulelewa na mama pekee ndio matokeo yake. Click to expand... nonsense, crap,utumbo, ujinga, zumbukuku,mwehu, shaitwani.......................uache kututusi, mama ndio aliempeleka hapo?
Chelenje JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 552 Reaction score 23 Jan 26, 2011 #23 Hata ulaya wapo, mwacheni ale raha kwa raha zake.
M Mabulangati JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 796 Reaction score 167 Jan 26, 2011 #24 Jamani tusiwatukane mama zetu maana unaweza kuta maa yake anatamani kujiua kwasababu mtoto kamshinda.
Jamani tusiwatukane mama zetu maana unaweza kuta maa yake anatamani kujiua kwasababu mtoto kamshinda.
De Javu JF-Expert Member Joined May 5, 2010 Posts 264 Reaction score 33 Jan 26, 2011 #25 Maria Roza said: Mwanamke tumbo :suspicious: Click to expand... Kwa chini kidogo..........
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Jan 26, 2011 Thread starter #26 chelenje said: Hata ulaya wapo, mwacheni ale raha kwa raha zake. Click to expand... Hakikisha unaungana naye siku za majuto..........kwani kwa mwelekeo huu haziko mbali sana!
chelenje said: Hata ulaya wapo, mwacheni ale raha kwa raha zake. Click to expand... Hakikisha unaungana naye siku za majuto..........kwani kwa mwelekeo huu haziko mbali sana!
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Jan 29, 2011 #27 Maria Roza said: Haahha mwanaume je? mic you swetie Click to expand... Mwanaume ni jinsi anavyoweza kumiliki mpira uwanjani 6x6 na utundu wa kutosha kufanya mdada amakumbuke muda wote na kuwa mwenye kufuraha, mengi yanafuata kama heshima n.k
Maria Roza said: Haahha mwanaume je? mic you swetie Click to expand... Mwanaume ni jinsi anavyoweza kumiliki mpira uwanjani 6x6 na utundu wa kutosha kufanya mdada amakumbuke muda wote na kuwa mwenye kufuraha, mengi yanafuata kama heshima n.k